CHAKULA CHA UBUNGO
OMEGA 3 ,
inapotumiwa
husaidia yafuatayo kwenye ubongo ,huzuia seli za ubongo kuzeeka mapema,
husaidia mtililiko mzuri wa damu kwenye ubongo na nerve za
fahamu, husaidia kituo cha kumbukumbu ( memori) kuwa bora,
husaidia wiano wa umeme kwenye ubongo, huzuia utahira, kwa watoto
husaidia kukuza ufahamu, na mtoto anakuwa na ubunifu, kwa watu
wazima huwasaidia kukumbuka kirahisi nk . Omega3 husambaza uvimbe unaosababishwa
na ongezeko la omega 6 ambayo hupatikana kwenye mafuta ya alizeti ambayo
ni hatari sana ukitokea kwenye moyo, ini, kizazi, mapafu na
ubongo .endelea kufuatilia mada hii na pia
changia maoni na sambaza kwa unaowapenda
MBEGU ZA MABOGA.
Mmea huu wa boga ni mzuri na unafaa sana kwa chakula
cha binadamu kuanzia majani, maua tunda na MBEGU, katika
mimea huu ulio jaa virutubisho basi mbegu ni sawa na dhahabu
katikati ya madini mengine. Ukiacha mafuta ya samaki MBEGU za maboga
zinashika nafasi ya pili kwa kutoa omega 3 bora kabisa, pia
MBEGU za maboga zimejaa antixiadant.
Faida zingine za MBEGU za maboga ni kuboresha mfumo
wa uzazi kwa wanawake na wanaume ,iwapo mwanao wa kiume na wa kike
amefikia umri wa kupevuka basi MBEGU za maboga zinahitajika
sana, MBEGU za maboga hutoa zink bora sana kwa tibaya mifupa ya
watoto na wazee, MBEGU za maboga husaidia ongezeko la MBEGU za
kiume na ubora wa mbegu za kiume, husaidia kuongeza homone maarufu
ya maziwa kwa akina mama wanyonyeshao iitwayo prolacitin na gonadotropin, mbegu
za maboga hutibu magonjwa ya upungufu wa seli nyeupe za damu,hivyo kama
unahitaji kuimarisha uwezo wa kiakili wa mwanao au wewe tumia mbegu za
maboga, na safi na salama kwa afya ya jamii .🤴👉🧠tumia.
OMEGA 3NA CHIA
Sayansi ya lishe imegundua mmea huu wenye
asili ya Amerika ya Kusini unafaa sana kwa afya ya binadamu na hutumika
kwa chakula na dawa, kabla ya kujua kuhusu omega 3 basi ona faida zingine
zinazopatikana ndani yake. Kuna antixiadant zenye nguvu kubwa
,antixiadant ni vimengenya maalum vinavyoshughika na kuondoa kemikali na
sumu ndani ya mwili wa binadamu na kwenye ngozi, huboresha ngozi,
huupatia mwili nguvu kuliko dawa yeyote kwani nguvu ya chia hudumu kwa
saa 72,
huondoa mafuta kwenye ini, moyo, kitambi na mishipa
ya damu, hurekebisha sukari na kutibu kongosho, hutibu mifupa kwani
ina madini ya zink, calcium, nickel, copper, silicon, iron na vitamini A,
F B zote , K na D³ husaidia seli za mwili kujilinda dhidi ya
adui na nk.matumizi yake inategemeana na wewe unataka
kupambana na ugonjwa gani ,matumizi yapo tofauti Usikose nyumbani
mwako ni mlinzi bora moyo na mwili wako.
CHIA NA UBONGO
kama tulivyo ona omega 3 ni enzaymes muhimu sana kwa afya
ya ubongo basi CHIA SEEDS inatoa omega 3 ya kiwango cha tatu,
hivyo kama unahitaji afya nzuri ya ubongo au akili kwa famlia yako
basi watumie chia ,kwa matumizi bora chukua chia vijiko 2
vya chakula maji nusu lita tikiti maji kipande ,limao
moja asali vijiko 3 brendi pamoja kisha kunywa vikombe 2vya
chai kabla ya kula, pia unaweza kuandaa pamoja na chakula kingine kama
uji, wali nk.
OMEGA 3 na BRUKOLI .
mmea huu ukiutazama unafanana na ubongo !. Mmea huu asili
yake ni Ulaya Mashariki hutumika kama mboga ila kwa nchi za Asia na
Amerika Kusini hutumika katika tiba, .tofauti na kuwa na omega 3
humsaidia kutibu saratani ya ubongo, husaidia sell za ubongo kuwa
imara na kuumbika sell mpya, husaidia ugwa mgongo, husaidia kuumbika kwa
gegedu za mifupa [ cartilage] husaidia na maambukizi yote ya kizazi hasa
kuimarisha kizazi kwa waliofanyiwa operesheni ,na kwa wanawake
waliotoa mimba sana na kushindwa kupata watoto ni nzuri sana, kwa wanaume
wenye udhaifu wa korodani ni nzuri sana, ikiwa utaitumia kwa saradi
au juisi basi ni mboga muhimu kuongeza omega 3
OMEGA 3 NA KOROSHO
pamoja na faida lukuki za korosho basi
ina omega 3 nzuri sana na hasa kwa watu wenye group A
,AB NA B la damu, husaidia mfumo wa moyo pia,, japo sio nzuri kwa
group 0 .
Prepared by Dr. Elias M. Kinambolo
Emak Natural Remedies Clinic
Runzewe Tanzania
Tel: 0699229115
No comments:
Post a Comment