Saturday, February 10, 2024

BAADHI YA DAWA ZETU, ZINAZOTIBU KWA 99%

TIBA YA MAGONJWA SUGU BILA KUTUMIA DAWA ZA HOSPITALINI BALI MATUNDA TU..!!

 

TED WILSON AWATAKA VIONGOZI WA KANISA WASIO NA IMANI JUU YA BIBLIA KUJIUZULU - OKTOBA 7, 2023

TED WILSON AWATAKA VIONGOZI WA KANISA WASIO NA IMANI JUU YA BIBLIA KUJIUZULU - OKTOBA 7, 2023

Na Gerry Wagoner

 Ifuatayo ni nakala ya mahubiri ya Sabato October 7, 2023 ya Ted Wilson  katika Baraza kuu la GC

 Kuna mambo kumi na sita (16) yaliyotolewa, na namba tatu ilihusu ngono ya kibiblia na uvamizi wa LGBTQ+ katika Uadventista. Mwishoni mwa hotuba yake kuhusu LGBTQ+, alihutubia viongozi, wachungaji, walimu, wanatheolojia, watoa huduma za afya, na washiriki wa kanisa, wakiwemo wale wanaotazama mtandaoni.

KWA NINI TUNAUGUA?


·         Kuugua ni ile hali ya kutokuwa vizuri kwa kiumbe hai. Ugonjwa/maladhi ni ile hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho, inayoathiri usitawi, starehe na furaha ya kiumbe hai.